Home\For parents\Languages\Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV.
Back Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV.

Tunakualika wewe na mtoto wako mchanga kushiriki katika GenV.

GenV ni mradi mkubwa zaidi wa utafiti wa utoto kuwahi kutokea nchini Australia.

Taarifa ya Habari za Mzazi/Mlezi ya GenV

Unaweza pia kujifunza juu ya GenV kwa kusoma waraka huu au kutazama video kwenye {www.genv.org.au}. Kabla ya kuamua, unapaswa kuelewa ni kwa nini GenV inatokea na inahusisha nini.

Mjumbe wa timu ya GenV anakutembelea au anawasiliana nawe mara tu baada ya mtoto wako kuzaliwa – kawaida hospitalini. GenV hulenga kusababisha mambo yawe rahisi iwezekanavyo kwa watu kujiunga.

Je, tujiunge GenV jinsi gani?

Tia sahihi kwenye fomu ya idhini, na tutakupa nakala kuhifadhi. Unaweza kushiriki katika yote au baadhi ya GenV.

Ona zaidi kuhusu kila moja ya haya hapa chini

Tafadhali soma maagizo haya

Ikiwa unakubali, tunakusanya habari kadhaa na vipimo vya usufi kutoka kwako na mtoto wako unapojiandikisha kwa GenV, na baadaye mtoto wako anapokua.

Ikiwa ukikubali, unaweza kukusanya sampuli moja au yote mbili ili kurudisha kwetu kwa njia ya posta. Tafadhali soma maagizo haya

Umepoteza seti au umefanya makosa? – Wasiliana nasi:

Seti ya usufi wa nepi Maagizo ya Usufi wa Nepi wa GenV

Soma zaidi kuhusu usufi wa nepi {hapa}.

Tafadhali soma maagizo haya

Seti ya maziwa ya matiti Maelekezo ya GenV ya Maziwa ya Mama

Soma zaidi juu ya sampuli ya maziwa ya matiti {hapa}.

Tafadhali soma maagizo haya